Isaiah 37:25

25 aNimechimba visima katika nchi za kigeni
na kunywa maji yake.
Kwa nyayo za miguu yangu
nimekausha vijito vyote vya Misri.’
Copyright information for SwhNEN